BARUA YA TAI: Wapendwa Waaminifu katika Kristo Yesu, leo 24-10-2026 Kutoka Kwa Ndugu Joseph Branham.

0 צפיות
admin
admin
11/08/26

Hii ni Barua ya leo Jumamosi tarehe 24-10-2026 Kutoka Kwa Nabii Wa Mungu Ndugu Joseph Branham kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo kote ulimwenguni.

anaeleza jinsi Bibi-arusi anavyokamilishwa na alivyo mwaaminifu Kwenye Sauti ya Mungu na Vile ilivyo muhimu kupita lugha kutamka.

Tazama na usikilize mwanzo mwisho kupata kila kitu alichosema katika Barua hii.

להראות יותר

לא נמצאו הערות

הבא