BIBI-ARUSI WA BUSERESERE Wakiangazia Mambo Mbalimbali Kabla hawajaiamini Huduma ya KANDA! SULUHISHO!

0 意见
admin
admin
10/27/26

Hawa ni Sehemu ya Waaminio Wa Ujumbe wa William Marrion Branham, BUSERESERE Nchini Tanzania! Wakiangazia Mambo Mbalimbali Kabla hawajaiamini Huduma ya KANDA na kuonyesha utofauti wa mafundisho na jinsi yalivyowaathiri kibinafsi kabla hawaipata kweli Kamilifu.

Tazama mwanzo hadi Mwisho wa video hii uone wapi walitoka na nini walipitia na leo wamepata kitu gani ambacho kimezituliza nafsi zao na kutosheleza kiu yao.

Suluhisho ni lipi katika yote haya na kipi kimesababisha Wawe wenye furaha kuliko wote ulimwenguni hivi sasa?

Karibu, na Mungu awabariki nyote.

Shalom!

显示更多

0 注释 排序方式

没有找到评论

下一个