Part2:NISIKILIZENI WACHUNGAJI WENZANGU PAMOJA NA WANA UJUMBE WOTE, KABLA HAMJACHELEWA!!! SEHEMU 2.
Hii ndio SEHEMU YA PILI (Part2) ya video ya Mahojiano ya Mchungaji Goodluck Lema wa Kanisa La Kanda la Kahama, Tanzania. Akieleza kwa kina bila kupepesa jicho, kwa nini Wahudumu Wanapaswa KUMTII Nabii wa Mungu Ndugu Joseph Branham na wakubali kuifuata njia ya Mungu iliyoandaliwa kwa ajili ya Siku hii, Huduma ya Kanda na kuicheza Sauti ya Mungu iliyorekodiwa kwa Watu wao.
Pia Ameweka wazi kwa nini makanisa yatafungwa na ni yapi na kwa nini. Na mtego ni upi leo hii kulingana na kile Nabii alichokisema na NJIA PEKEE ya KUEPUKIA hilo JARIBU KUBWA AMBALO NABII ALILOLISEMA WAHUDUMU WATALETEWA NI IPI.
Tazama mwanzo-mwisho kwani hii ndio inayomalizia kila kitu na kuweka wazi ambayo hukuwahi kusikia kuhusu Huduma ya Kanda na huduma tano, maana sehemu ya kwanza aligusia machache tu maana alikuwa ndio kwanza ameanza. Humu sasa ndo kamaliza kabisa kila kitu wazi.
Mungu awabariki nyote, Kuja Kwake Bwana Wetu Yesu Kristo na kuifuarahishe mioyo yenu. Karibu katika video hii.
Branhamtabernacle.org
-
Categoria

Nenhum comentário encontrado