BARUA YA TAI: MPENDWA MPENZI! ya leo 31-10-2026 Ndugu Joseph Branham, Kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo
0 Lượt xem
admin
11/08/26
Hii ni Barua ya leo Jumamosi tarehe 31-10-2026 kutoka kwa Nabii Wa Mungu Ndugu Joseph Branham kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo kote ulimwenguni.
Akitueleza jinsi Mungu Baba anavyojivunia Bibi-arusi Wake kwa kudumu na Sauti Yake iliyo kwenye kanda na kufikia Wana na binti Zake wenye mamlaka katika siku hizi za mwisho wakati wa lile jiwe la kifuniko.
kuna mengi zaidi, sikiliza barua hii hadi mwisho.
-
Loại
Cho xem nhiều hơn

Không có bình luận nào được tìm thấy