BARUA YA TAI- Wapendwa Waliofanywa Wana Wenye Mamlaka, Leo 07-11-2026 Kwa Bibi-arusi wote...

1 ভিউ
admin
admin
11/08/26

Hii ni Barua ya leo Jumamosi tarehe 07-11-2026 kutoka kwa Nabii Wa Mungu Ndugu Joseph Branham kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo kote ulimwenguni. kwa Kiswahili.

ameeleza jinsi ulimwengu ulivyo na fadhaa na msongo wa mawazo na hofu kuu leo hii. Bali Bibi-arusi amefanywa Mwana mwenye mamlaka na amejitambua na kujua Yeye ni nani na Mungu ni nani. tunasubiri tu unyakuo huku tukiisikiliza Sauti ya Mungu iliyo kwenye Kanda maana sisi ndio kanisa la Ndugu Branham ambalo Kanda hizi ni za hao tu.

sikiliza hadi mwisho.

আরো দেখুন

0 মন্তব্য ক্রমানুসার

কোন মন্তব্য পাওয়া যায়নি

পরবর্তী আসছে