BUSERESERE IMEWAKA MOTO! Uhalisia wa Ibada za Kanda Mwanzo - Mwisho. End Time Message Tape Believers
0 المشاهدات
admin
10/27/26
Hawa ni Waaminio halisi wa William Marrion Branham wa Buseresere, Wanaosikiliza Sauti ya Mungu.
Hapa Walianza kusikiliza Kwanza Preliminari ya Ndugu Joseph Branham ya 2016 ya Kanda ya Wakati wa Kanisa la Sardi, kwa KISWAHILI.
Kisha Wakaingia moja kwa moja kwenye Ibada ya Kanda kwa kubonyeza play ilipofika saa 1 kamili Jioni ya Afrika Mashariki ambayo ni saa 6 Mchana ya Jeffersonville, pamoja na Bibi-arusi wengine kote ulimwenguni kwa Wakati mmoja.
Walipomaliza, Wakaanza kiumbaa nyimbo za sifa na kumtukuza Mungu kwa furaha ya ibada kwa yale waliosikia na kuambiwa kwenye Kanda.
أظهر المزيد

لم يتم العثور على تعليقات