HERI MTU ANAYEMINI - NYIMBO ZA WOKOVU no 158 DEEP SWAHILI WORSHIP
0 Mga view
admin
11/08/26
Shalom watu wa Mungu, welcome to our channel @swahiligospelsounds , subscribe, activate bell notification, share and comment.
1Heri mtu anayeamini
Mungu Baba na Yesu Mwokozi!
Heri mtu aifuataye
njia nzuri ‘endayo mbinguni!
Usifiwe, Yesu Kristo!
U Mwokozi mzuri kabisa!
Usifiwe, Yesu Kristo!
Bwana, nitakuona mbinguni.
2Kwa furaha tunakusanyika
kusikia maneno ya Mungu,
na mbinguni karibu ya Yesu
tutamshangilia daima.
3Kuamini pasipo kuona
inafaa katika safari.
Siku moja atatuchukua,
tutakaa milele mbinguni.
-
Kategorya
Magpakita ng higit pa

Walang nakitang komento