KISWAHILI TZ- BWANA ASEMA HIVI kutoka kwa Nabii wa Mungu Ndugu JOSEPH BRANHAM Alipotoka Arizona.
0 Visualizzazioni
admin
09/30/26
Nabii wa Mungu Ndugu JOSEPH BRANHAM alikuwa ameenda kwenye milima ya Arizona kama kawaida Yake na kama vile Ndugu Branham alivyokuwa anafanya, wakati akiwa huko faraghani na Bwana, aliporudi Jeffersonville katika maskani ya Branham akaja na BWANA ASEMA HIVI, Kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo kote ulimwenguni.
"ENDELEENI KUCHEZA KANDA, MKO KATIKA MAPENZI YANGU MAKAMILIFU, ENDELEENI KUZICHEZA HIZO KANDA, NAKUJA KUWACHUKUA"
-
Categoria
Mostra di piรน

Nessun commento trovato