Naiamini damu yako 9 NW
90 意见
jeromekiza
07/03/24
9 NAIAMINI damu yako
Nyimbo Za Wokovu
1. Naiamini damu yako yesu
na msalaba wako Yesu.
Mwokozi wangu wa pekee
napata yote, Napata yote kwako.
Refrain :
Uliyoyahidi Na’pata kwa imani.
Huwezi kuniacha mimi,
Napata yote kwako.
2. Kwa damu nimetasika,
Namto wa uzima wako
waniletea nguvu tele,
napate yote kwako.
3. Nafungwa kwa upendo wako,
Njiani unaniongoza,
Na katika hatari zote
napata nguvu kwako.
4. Ninakupenda, Bwana Yesu,
Wanisikia niombapo,
Wanipa jibu la mombi
Napata yote kwako.
#nyimbozawokovu
-
类别
显示更多
没有找到评论