Nani aweza kuniweka huru 13 NW
0 Vues
admin
11/08/26
13 NANI aweza kuniweka huru?
Nyimbo Za Wokovu
#Nyimbozawokovu
1. NANI aweza kuniweka huru?
ni Yesu mwokozi, Yesu mwokozi!
nguvu kushinda nipate kwa nani?
kwa damu ya Yesu mwokozi!
Refrain:
Kuna nguvu, nguvu ya ajabu kuu
kati damu yake ya mwokozi!
Kuna nguvu, nguvu za ajabu kuu
kati damu yake Yesu.
2. Nitawezaje kuvunja tamsa?
Kwa damu ya Yesu, damu ya Yesu!
Nikaribie kisima cha hai,
kisima cha damu ye Yesu.
3. Nitawezaje kuoshwa moyoni?
Kwa damu ya Yesu, damu ya Yesu!
Nitakasike katika kisima,
kisima cha damu!
4. Nitawezaje kutenda vizuri?
Kwa nguvu ya Yesu, nguvu ya Yesu!
Nitawezaje kufika mbinguni?
Kwa nguvu ya damu ye Yesu.
-
Catégorie
Montre plus

Aucun commentaire trouvé