NIMEFIKA KWAKE YESU ( ROHO YANGU INAIMBA) NYIMBO ZA WOKOVU No.35 BY DANIEL SIFUNA. TENZI/hymn songs
0 Pogledi
admin
11/08/26
NYIMBO ZA WOKOVU No.035
1Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa, jua lake la neema linang’aa kila siku.
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli. Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha.
2Pepo za neema yake zinavuma ndani yangu, na mawimbi ya wokovu yananijaliza sasa.
3Sasa Bwana Yesu Kristo amefanya kao kwangu. Nimepewa mfariji, Roho ya ahadi yake.
4«Siku roho afikapo mtajua kwa hakika kwamba ninakaa kwenu», hivyo Yesu alisema.
5Kweli, amefika kwetu, sasa yumo ndani yetu. Ujitoe kwake Mungu, aioshe roho yako!
6Yesu atakapokuja katita utakatifu, nitafananishwa naye, nitamshukuru sana.
Zitakuwa nyimbo nyingi tuta’poingia mbingu, na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu.
-
Kategorija
Prikaži više

Nema komentara