Nyimbo za Wokovu 75

0 ভিউ
admin
admin
11/08/26

Chanté au Tabernacle de Kolwezi

1. NILIYE MSAFIRI MGENI DUNIANI
SIONI KWANGU HAPA NI HUKO JU MBINGUNI
NINATAMANI NAMI KUKAA SIKU ZOTE
PAMOJA NAYE BWANA KATIKA UTUKUFU

REF : KWANGU MBUNGUNI KWANGU (2x)
UZURI WA MGINGUNI WAPITA YOTE HUKO

আরো দেখুন

0 মন্তব্য ক্রমানুসার

কোন মন্তব্য পাওয়া যায়নি

পরবর্তী আসছে