Nyimbo Za Wokovu No 35: Tafakari na Nimefika Kwake Yesu

0 Ansichten
admin
admin
11/08/26

Shalom watu wa Mungu, welcome to our channel@swahiligospelsounds , subscribe, activate bell notification, share and comment.
#nyimbozawokovu
#gospelmusic

1Nimefika kwake Yesu,
Na rohoni mwangu sasa,
jua lake la neema
linang’aa kila siku.

Roho yangu inaimba,
nimefunguliwa kweli.
Nimekaribia Yesu,
ninaimba kwa furaha.

2. Pepo za neema yake
zinavuma ndani yangu,
na mawimbi ya wokovu
yananijaliza sasa.

3. Sasa Bwana Yesu Kristo
amefanya kao kwangu.
Nimepewa mfariji,
Roho ya ahadi yake.

4«Siku roho afikapo
mtajua kwa hakika
kwamba ninakaa kwenu»,
hivyo Yesu alisema.

5Kweli, amefika kwetu,
sasa yumo ndani yetu.
Ujitoe kwake Mungu,
aioshe roho yako!

6. Yesu atakapokuja
katita utakatifu,
nitafananishwa naye,
nitamshukuru sana.

Zitakuwa nyimbo nyingi
tuta’poingia mbingu,
na milele tutaimba
na kusifu Mungu wetu.

---
Boost your YouTube audience with vidIQ. Use this link to unlock 500 bonus credits when you upgrade to a premium plan: https://vidiq.com/r/?code=DJjghp

Zeig mehr

0 Bemerkungen Sortiere nach

Keine Kommentare gefunden

Als nächstes