Paa Maabudu - Tawala Maisha Yangu
#trending #tanzania #kenya #congo #nyimbozakuabudu #nyimbozakikristo
(chorus)
Tawala maisha yangu Yesu tawala eh tawala (Rule over my life, Jesus, rule, eh, rule)
Tawala maisha yangu Bwana tawala eh tawala
(Rule over my life, Lord, rule, eh, rule)
Tawala maisha yangu Bwana tawala eh
tawala
(Rule over my life, Lord, rule, eh, rule)
Tawala maisha yangu Yesu tawala eh tawala (Rule over my life, Jesus, rule, eh, rule)
[Verse 1]
Katika familia yangu, tawala eh tawala
(In my family, rule, eh, rule)
Katika kazi zangu, tawala eh tawala
(In my work/deeds, rule, eh, rule )
Katika ndoto zangu, tawala eh tawala
(In my dreams, rule, eh, rule)
Katika maisha yangu, tawala eh tawala
(In my life, rule, eh, rule)
[Verse 2] |
Moyo wangu wote, tawala eh tawala
(Over all my heart, rule, eh, rule)
Njia zangu zote, tawala eh tawala
(Over all my ways/paths, rule, eh, rule)
Maisha yangu yote, tawala eh tawala
(Over all my life, rule, eh, rule)
Milele na milele, tawala eh tawala
(Forever and ever, rule, eh, rule)
(Bridge)
Wewe ndiye mwanga wangu
(You are my light)
Wewe ndiye ngome yangu
(You are my fortress)
Ndani yako sitingisiki
(In You I shall not be shaken)
Tawala maisha yangu, Yesu tawala
(Rule over my life, Jesus, rule)
-
类别

没有找到评论