Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima 50 NW

0 المشاهدات
admin
admin
11/08/26

50 SITASUMBUKA kwa kuwa Mungu ananitunza daima √√

 Nyimbo Za Wokovu 

1. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu
ananitunza daima, anachukua
mizigo yangu nyakati zote za mwendo.

Refrain:
Sijaiona nyingine siku
Na jana imetoweka na leo Mungu
anazijua hitaji zote ninazo.

 
2. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu
ni baba yangu kabisa,
hawezi kunisahau mimi
ingawa akijificha.

3. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu
anishibisha neema, anipa yote
yanifaayo kwa roho yangu na mwili.

4. Maua yote anayavika
na ndege wote wa anga
wanapokea chakula chao
pasipo shamba na ghala.

5. Ninafurahi katika bwana,
na kama ndege naimba.
Najua kwamba nyakati zote
babangu ananitunza,

#Nyimbozawokovu

أظهر المزيد

0 تعليقات ترتيب حسب

لم يتم العثور على تعليقات

التالي