TUTAZAME KULE MBELE(SMS SKIZA 6930254) - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP
#PAPI_CLEVER_DORCAS
#TUTAZAME_KULE_MBELE
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; KIGALI
Dressing : F&Y
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
Number 181
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Tutazame kule mbele, asubuhi inakuja! - Let's look ahead, the morning is coming!
Tuamini Mungu wetu, atafanya kazi yake, - Trust our God, he will do his work
kufukuza mashetani, kumiliki nchi yote. - drive out demons, possess the whole country
Tutashinda tukiomba, Mungu anatusikia. - We will win if we pray, God hears us.
2
Tarumbeta linalia, tuamke wote sasa! - The trumpet is sounding, let's all get up now!
Mungu wetu anataka sisi sote tutakaswe! - Our God wants us all to be sanctified!
Kila mtu awe safi katika kanisa lake! - Everyone should be clean in his church!
Uliache nungโuniko, utapata nguvu yake! - Stop complaining, you will receive his strength!
3
Imba ninyi, watu wake, Bwana yu pamoja nasi! - Sing, his people, the Lord is with us!
Tutashinda majaribu kwa uwezo wake Yesu. - We will overcome trials with the power of Jesus.
Twende tumhudumie kwa kumpa mali yake; - Let's go and serve him by giving him his property;
hata roho na akili zimtumikie Bwana! - let the soul and mind serve the Lord!
4
Watu wengi hawajui njia yakufika mbingu, - Many people do not know the way to heaven
wanakuwa wamefungwa kwa mikono ya shetani. - they are bound by the hands of the devil
Twende tukawatafute, tuwavute kwa Mwokozi, - Let's go and find them, draw them to the Savior
na kuomba na kukesha hata kuja kwake Yesu! - and pray and watch until Jesus comes!
#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA
-
categorie

Geen reacties gevonden