WAPENDWA WANA TAI: Barua ya Leo 31/01/2026. Ndugu Joseph Branham

0 Visualizzazioni
admin
admin
11/08/26

Wapendwa Wana Tai, ni Barua ya Tai Wanakusanyika pamoja ya leo kutoka kwa Nabii wa Mungu Ndugu JOSEPH BRANHAM.
Inaonyesha jinsi sisi Bibi-arusi wa Yesu Kristo tunavyokula chakula cha Tai, mana mpya.

Msikilize Ndugu Joseph Mwenyewe kwenye Barua hii ili upate kujua TAI ni nani na Mana ni nini na inapatikana Wapi.

Usisahau Kusubscribe ili Usikose taarifa yoyote muhimu ya Bibi-arusi wa Kristo kote ulimwenguni punde tu zinapotolewa kutoka kwa Nabii wa Mungu.

Mostra di piรน

0 Commenti Ordina per

Nessun commento trovato

Avanti il prossimo