YESU mwenye pendo kubwa (224 NW)

0 Görünümler
admin
admin
11/08/26

224 YESU mwenye pendo kubwa

 Nyimbo Za Wokovu

#Nyimbozawokovu

1. Yesu, mwenye pendo kubwa,
usinipitie! Katika maombi yangu
unibarikie!

Pambio:
Yesu, Yesu, unisikilie!
Ukiwabariki wote,
usinipitie!

 
2.Ninakiendea sasa
kiti cha neema;
kutoamini kwangu
u’ondoe vema!
 
3.Nakutegemea, Bwana,
njia unionye!
Roho yangu imevunjwa,
Yesu, uniponye!
 
4. Wewe, Yesu, ni kisima
cha furaha yetu.
Nani ni mchunga mwema,
ila Bwana wetu!

Frances J Crosby;
Van Alstyne, 1868

Daha fazla göster

0 Yorumlar Göre sırala

Hiçbir yorum bulunamadı

Bir sonraki