BARUA YA TAI- Mpendwa 1 Wao! Kutoka kwa Ndugu Joseph Branham, Leo 19-09-2026 kwa BIBI-ARUSI WOTE...
0 Bekeken
admin
10/27/26
Hii ni Barua ya Leo Jumamosi tarehe 19-09-2026 kutoka kwa Nabii Wa Mungu Ndugu Joseph Branham kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo kote ulimwenguni.
Akielezea Maswali jinsi Tulivyo MMOJA WAO watu wa Huduma ya Kanda kwa maswali watu Wanayotuuliza na jinsi tunavyojibu kinagaubaga.
Sikiliza mwanzo Mwisho, maana Barua hii inaelezea pia Mbegu ya Hitilifu ni ipi.
mwishoni mwa Barua hii Ndugu Joseph amewaalika mje kusikiliza kanda hii ya Mbegu ya Hitilafu pamoja na Bibi-arusi wa Kristo kote ulimwenguni saa 6 mchana masaa ya Jeffersonville kwa wakati mmoja.
Mungu awanariki mno.
-
categorie
Laat meer zien

Geen reacties gevonden