BARUA YA TAI- Wapendwa Mawazo Ya Mungu! 26-09-2026 kutoka kwa Ndugu Joseph Branham kwa Bibi-arusi
0 Views
admin
10/27/26
Hii ni Barua ya leo Jumamosi tarehe 26-09-2026 kutoka kwa Nabii Wa Mungu Ndugu Joseph Branham kwa Bibi-arusi wa Yesu Kristo kote ulimwenguni.
akielezea jinsi Bibi-arusi alivyo mawazo ya Mungu na huyo Bibi-arusi ni nani. Ile roho ya Kora na Dathani ni ipi leo hii kama jinsi walivyokataa huduma ya mtu mmoja ndivyo hawa leo hii wafanyavyo.
hebu sikiliza mwanzo mwisho mwenyewe.
kuipata Barua hii kuipakua kwa Pdf au kuisoma moja kwa moja na kupata kanda hii bofya anuani hii hapa chini.
https://svfellowship.info/sw/2....6-0927-mungu-aliye-m
-
Category
Show more

No comments found