Eā rafiki, shaka zako Nyimbo za wokovu number 154
0 ęč§
admin
11/08/26
šµ E' RAFIKI SHAKA ZAKO | Nyimbo za Wokovu šµ
Je, unapitia mashaka, huzuni au mizigo ya maisha? Wimbo huu unatukumbusha kwamba Yesu ndiye rafiki wa kweli ambaye hatuachi kamwe. Mkabidhi yeye mahangaiko yako yote, kwa maana anakujali.
"Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu." ā 1 Petro 5:7
Ubarikiwe na ujumbe wa wimbo huu.
š Like
š¬ Andika ushuhuda au maoni yako
š¤ Share ili wengine nao wapate faraja.
š Subscribe kwa Nyimbo zaidi za Wokovu.
#nyimbozawokovu #ERafikiShakaZako #yesukristo #swahiligospel #christianmusic #imanishapatel #tumaini
-
ē±»å«
ę¾ē¤ŗę“å¤

ę²”ęę¾å°čÆč®ŗ