Eโ rafiki, shaka zako Nyimbo za wokovu number 154
0 Visualizzazioni
admin
11/08/26
๐ต E' RAFIKI SHAKA ZAKO | Nyimbo za Wokovu ๐ต
Je, unapitia mashaka, huzuni au mizigo ya maisha? Wimbo huu unatukumbusha kwamba Yesu ndiye rafiki wa kweli ambaye hatuachi kamwe. Mkabidhi yeye mahangaiko yako yote, kwa maana anakujali.
"Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu." โ 1 Petro 5:7
Ubarikiwe na ujumbe wa wimbo huu.
๐ Like
๐ฌ Andika ushuhuda au maoni yako
๐ค Share ili wengine nao wapate faraja.
๐ Subscribe kwa Nyimbo zaidi za Wokovu.
#nyimbozawokovu #ERafikiShakaZako #yesukristo #swahiligospel #christianmusic #imanishapatel #tumaini
-
Categoria
Mostra di piรน

Nessun commento trovato