Eโ€™ rafiki, shaka zako Nyimbo za wokovu number 154

0 Tampilan
admin
admin
11/08/26

๐ŸŽต E' RAFIKI SHAKA ZAKO | Nyimbo za Wokovu ๐ŸŽต

Je, unapitia mashaka, huzuni au mizigo ya maisha? Wimbo huu unatukumbusha kwamba Yesu ndiye rafiki wa kweli ambaye hatuachi kamwe. Mkabidhi yeye mahangaiko yako yote, kwa maana anakujali.

"Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu." โ€” 1 Petro 5:7

Ubarikiwe na ujumbe wa wimbo huu.

๐Ÿ‘ Like
๐Ÿ’ฌ Andika ushuhuda au maoni yako
๐Ÿ“ค Share ili wengine nao wapate faraja.
๐Ÿ”” Subscribe kwa Nyimbo zaidi za Wokovu.

#nyimbozawokovu #ERafikiShakaZako #yesukristo #swahiligospel #christianmusic #imanishapatel #tumaini

Menampilkan lebih banyak

0 Komentar Sortir dengan

Tidak ada komentar yang ditemukan

Berikutnya