Fanyia Mungu kazi nyimbo za wokovu number 186

0 ꄏ见
admin
admin
11/08/26

šŸŽµ FANYIA MUNGU KAZI, MBIYO USIKU WAJA | Nyimbo za Wokovu šŸŽµ

Wimbo huu unatukumbusha kuwa muda wa kumtumikia Mungu ni sasa. Maisha ni mafupi, na kila mmoja amepewa nafasi ya kufanya kazi ya Bwana kabla siku haijaisha. Tusikate tamaa, bali tuendelee kuhubiri Injili, kutenda mema na kuishi kwa uaminifu mbele za Mungu.

"Imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenipeleka, maadamu ni mchana; usiku waja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi." — Yohana 9:4

Ikiwa wimbo huu umekubariki:
šŸ‘ Like
šŸ’¬ Toa maoni yako
šŸ“¤ Share ili wengine nao wabarikiwe
šŸ”” Subscribe kwa Nyimbo zaidi za Wokovu.

#nyimbozawokovu #FanyiaMunguKazi #swahiligospel #injili #yesukristo #christianmusic #worship

ę˜¾ē¤ŗę›“å¤š

0 ę³Øé‡Š ęŽ’åŗę–¹å¼

ę²”ęœ‰ę‰¾åˆ°čÆ„č®ŗ

下一个