Fanyia Mungu kazi nyimbo za wokovu number 186
0 рд╡рд┐рдЪрд╛рд░реЛрдВ
admin
11/08/26
ЁЯО╡ FANYIA MUNGU KAZI, MBIYO USIKU WAJA | Nyimbo za Wokovu ЁЯО╡
Wimbo huu unatukumbusha kuwa muda wa kumtumikia Mungu ni sasa. Maisha ni mafupi, na kila mmoja amepewa nafasi ya kufanya kazi ya Bwana kabla siku haijaisha. Tusikate tamaa, bali tuendelee kuhubiri Injili, kutenda mema na kuishi kwa uaminifu mbele za Mungu.
"Imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenipeleka, maadamu ni mchana; usiku waja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi." тАФ Yohana 9:4
Ikiwa wimbo huu umekubariki:
ЁЯСН Like
ЁЯТм Toa maoni yako
ЁЯУд Share ili wengine nao wabarikiwe
ЁЯФФ Subscribe kwa Nyimbo zaidi za Wokovu.
#nyimbozawokovu #FanyiaMunguKazi #swahiligospel #injili #yesukristo #christianmusic #worship
-
рд╢реНрд░реЗрдгреА
рдФрд░ рджрд┐рдЦрд╛рдУ

рдХреЛрдИ рдЯрд┐рдкреНрдкрдгреА рдирд╣реАрдВ рдорд┐рд▓реА