Fanyia Mungu kazi nyimbo za wokovu number 186

0 Görünümler
admin
admin
11/08/26

🎵 FANYIA MUNGU KAZI, MBIYO USIKU WAJA | Nyimbo za Wokovu 🎵

Wimbo huu unatukumbusha kuwa muda wa kumtumikia Mungu ni sasa. Maisha ni mafupi, na kila mmoja amepewa nafasi ya kufanya kazi ya Bwana kabla siku haijaisha. Tusikate tamaa, bali tuendelee kuhubiri Injili, kutenda mema na kuishi kwa uaminifu mbele za Mungu.

"Imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyenipeleka, maadamu ni mchana; usiku waja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi." — Yohana 9:4

Ikiwa wimbo huu umekubariki:
👍 Like
💬 Toa maoni yako
📤 Share ili wengine nao wabarikiwe
🔔 Subscribe kwa Nyimbo zaidi za Wokovu.

#nyimbozawokovu #FanyiaMunguKazi #swahiligospel #injili #yesukristo #christianmusic #worship

Daha fazla göster

0 Yorumlar Göre sırala

Hiçbir yorum bulunamadı

Bir sonraki