HIVI NDIVYO NABII BRANHAM ALIVYOONDOKA DUNIANI | Waaminio Stories
HIVI NDIVYO NABII WA MALAKI 4:5.,
"Kamwe siwaletei watu ujumbe kusudi wanifuate, ama wajiunge na kanisa langu, ama waanzishe shirika fulani na madhehebu fulani. Sijafanya hivyo kamwe wala sitafanya hivyo sasa. Sivutiwi na mambo hayo, bali ninavutiwa na mambo ya Mungu pamoja na watu, na kama naweza kutimiza jambo moja tu nitaridhika. Jambo hilo moja ni kuona uhusiano wa kweli wa kiroho baina ya Mungu na watu umeimarishwa, ambapo watu wanakuwa viumbe vipya katika Kristo, wamejazwa na Roho Wake na wanaishi kulingana na Neno Lake. Ningewaalika, ningewasihi na kuwaonya watu wote waisikie sauti Yake wakati huu, na kuyatoa maisha yenu kabisa Kwake, yaani kama vile ninavyoamini moyoni mwangu kwamba nimempa Yeye yote niliyo nayo. Mungu na awabariki, kuja Kwake na kuifurahishe mioyo yenu."
CAB-10 — 10 - Muhtasari wa Nyakati
Rev. William Marrion Branham
For more stories tembelea channel hii👇👇
https://youtube.com/@Bro-Daimo....n?si=HjMm_-s0hr0SVVs
-
categorie

Geen reacties gevonden